The Noble Qur'an Encyclopedia
Towards providing reliable exegeses and translations of the meanings of the Noble Qur'an in the world languagesThe Disbelievers [Al-Kafiroon] - Swahili translation - Ali Muhsen Al-Berwani
Surah The Disbelievers [Al-Kafiroon] Ayah 6 Location Maccah Number 109
Sema: Enyi makafiri! [1]
Siabudu mnacho kiabudu; [2]
Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu. [3]
Wala sitaabudu mnacho abudu. [4]
Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu. [5]
Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu. [6]